Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si ndiyo hapo sasa, mie hata mwaka haujaisha ila tayari nimebadili mara nne.

Yule dogo sijui huwa anamtafuta mod gani aiseee
Mimi wakati wa kubadili Tena sikumtafuta max..ila naamka asbh nakuta amenibadilishia yeye na amenitumia na ujumbe wa kuwa tayari.
Nikazuga kushukuru na kumtakia kazi njema..yaani nilishikwa na aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wakizuia na simu utasahau matumizi yake
 
Mimi wakati wa kubadili Tena sikumtafuta max..ila naamka asbh nakuta amenibadilishia yeye na amenitumia na ujumbe wa kuwa tayari.
Nikazuga kushukuru na kumtakia kazi njema..yaani nilishikwa na aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnafurahisha
 
Oohh asante dear, na mie kuhangaika kote kule kubadilibadili ni kwa sababu nilikuwa sijapata jina zuri nitakaloweza kulitumia kwa muda mrefu nikakaa nikawaza nikaona nitafute jina ambalo nitadumu nalo muda mrefu na sitabadili tena nikaona hili ndiyo lafaa.

So hata mods wasingenipa hii adhabu ya kutobadili tena, bado huu ndiyo ulikuwa mpango wangu kutobadili tena.
 
Umekuwa mtu muhimu sana, usipokuepo hapa inajulikana kuna mtu kapelea kabisa ata Ostaz anakosa raha

Napenda jinsi haujibani yani upo huru unaishi maisha yako halisi unavyojisikia bila kufanya maigizo

Ufanye mpango urudi kwenye umeme wa uhakika bhana...
 
..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…