Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haha hiyo ë ni ya kijerumani mkuu, na naona wanaoweka hivyo huwa wana maana yao kimatamshi zaidi. Sababu kuna watu hilo jina wanalitamka "Zo" badala ya "Zoi", kwahiyo hiyo ë yenye dots mbili kwa juu ni kwa ajili ya kuweka msisitizo zaidi katika matamshi.
Bro Jina limekaa kijerumani, sijui ni kituruki, lakini mi huwa nampa haki yake bi Zoë kama lilivyo jina lake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu litamke nisikie linavyotamkwa kwamba ni Zo au Zoi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…