Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niwaambie kitu?? Hiv mnajua km CORONA tulikua nayo na watu tumeugua sana ila serikali haikujua ni ugonjwa gan??

Km mnakumbuka miez km mitatu au minne watu tulikua tupata mafua makali sana na homa kali mno na baadae kikohozi kikavu cha kuumia kifua.... Mpaka selikali ikasema kuna aina ya mafua makali yasiyo ya kawaida yanasumbua na yakatajwa baadhi ya maeneo ambayo watu wameonekana kuugua sana... Na ile homa ilikua inakaa ndan ya wiki tu unaanza kupona...!! Na dalili zake na tabia yake ndo hiyo hiyo ya Corona 100%.

*Mnakumbuka hilo??*

Sent using TECNO F1
 
Joto la Kyela halijafikia la Dar mama, yaani Dar ni kama vile iko kivyakevyake karibu na jua. Imagine mtu uko ufukweni lakini hata ule upepo wa bahari hauusikii, ndiyo kwanza unasweat utafikiri umejifungia ndani.
Mimi naona Ni sawa tu

Huku ukija mwezi wa 9 ndio utajua kuwa joto lake Ni sawa na dar tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] haya maneno umeanza lini we mtoto
 
Nimekwambia kila kitu kina mwenyewe.
Mbeya mjini wenyeji ni Wasafwa Na Dar Wenyeji ni Wazaramo kama hutaki acha.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa ustaadh umeshinda

Ulisema Kama Ni mbeya mjini Basi nitakuwa msafwa.. nikakwambia Mimi sio msafwa.
Yawezekana wasafwa ndio wenyewe ila kwa Sasa watu Ni wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…