Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duuh hizo zote ni aina za samaki ?? Hapo namjua Kambare tu na ndiye samaki ninayechukia kumla kuliko wengine wote wanaoliwa, Kitoga si jina la mtu hilo niliwahi soma na msichana wa kuitwa Kitoga.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani moud bhana, hivi unajua mtu unapofika kwa watu halafu ukakataa chakula wanachokula wao ukataka kujipikia cha kwako inaleta picha gani hasa huko vijijini walikoshika mila na desturi?

Huwa tunajipikia basi tu ila inaleta picha mbaya sana, halafu unajua wale ni wazee wetu wanaweza wakakunenea lolote.
Kwakuwa tatizo unalijua, kila unapofanya safari ya huko unaenda na viungo vyako
 
Amekulia dar huyo
Haya mambo hayajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…