Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Beach boy mwenyewe ndio anasema atakufundisha sasa wewe wasi wasi wa nini?Unifundishe?
Ili niende kufa kama yule mzungu zenji au yule mtangazaji Nani jina sijui
Wallah utanishawishi vitu vyote nikakubali ila sio kunipeleka kwenye maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi redio zinapatika kwa sasa madukani
Pweza ana harufu kali ile nadhani haitoki hata usafishe vipi
Gashimba?
Yaani kweli nijiite kasimba kadogo na siyo Shimba ya Buyenze?
Afadhali nijiite Mzee wa Kisukuma....
Ngoja niwasiliane na Mello
Baharini mambo mengi yanatendeka
Roho yako nyepesi sana mpendwa huwezi😁😁😁😁Kwamba uwongo au?
😀😀
Hujakosea kamanda...
HaitowezekanaHujawahi kumla labda lakini yuko poa sana mkuu na huwa ukianza kumla hutatamani aishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mndali wako anataka kuniingiza mkenge. Eti niache kujiita SYB nijiite Kasimba Kadogo. Whai?
Daah umenikumbusha jamaa yangu Mndali ndanyelakakomu