Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulifanya haraka kubadirisha majina yako wakati bado hujakaa hata mwaka mmoja.
Yaliyopita si ndwele..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwani bado mnahangaika na id tu ?? Nikiweka e ya kawaida itabadilisha maana kimatamashi jamani moud, halafu nimeshajielezea kuwa sina tena chance ya kubadili id wala kitu chochote kwenye id.
 
Kwahiyo hata akikupikia vyakula vinavyokutapisha kama una mimba unavumilia tu?
Kwanza bibi yangu huwa anapenda kujifanyia vitu vyake mwenyewe, yaani hadi nguo zake anataka ajifulie mwenyewe. Anakuambia eti akisema abweteke sababu ya uzee ndiyo atakaribisha magonjwa mengi zaidi, hivyo bora ajishughulishe ili mwili usidhoofu.
 
Sawa maji yamemeza wengi, na lazima iwe hivyo maana 60 au 70% ya Dunia ni maji.
Na hivyo kwakuwa Dunia imegubikwa na maji kuliko lilivyo eneo la nchi kavu yawapasa wakazi wa Dunia wajue kuogelea.
Jifunze kuogelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…