Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Anaweza kuliwa katikati ya utamuWakati wa kujamiiana Buibui Dume humviringa Buibui jike ili asiweze kutoka sababu ni Jike huwa na kawaida ya kuwala buibui wengine ikiwemo madume hivyo hufanya hivyo ili kuzuia asije kuliwa na tendo kufanyika kistaarabu.
Hizi namba mbona nyingi kama za simu?Total number of COVID-19
cases in Italy as of March
19, 2020 41,035
Bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo umeachiwa ??
Veve [emoji23][emoji23]
ππ unajua mkokxGomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
Eti aisee.... kanakwamba na wewe ndio umesoma sasa hivi ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iseeee
Kuna kipindi maisha yalikuwa magumu mpaka nikawaza labda walipachana hapo wakaweka madini humo ndaniKuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.
Ndio eti hahahaEti aisee.... kanakwamba na wewe ndio umesoma sasa hivi ππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iseeee
Daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi maisha yalikuwa magumu mpaka nikawaza labda walipachana hapo wakaweka madini humo ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app