Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mariana Trench: Ni sehemu yenye kina kirefu zaidi cha asili duniani. Inapatikana kwenye bahari ya Pacific. Ina kina cha mita 11034 kutoka usawa wa bahari. Ukiudumbukiza mlima Kilimanjaro hapo utazama wote na kutakuwa na maji juu yenye kina cha mita zaidi ya 2000 kutoka kileleni.Chanzo:LiveScience
 
Uume huongezeka urefu kwa wanaume wanaofanyiwa mapenzi kwa njia ya mdomo.(Utafiti wa Dr Debby Herbenick, Marekani, 2013)Kumbuka:Mapenzi ya mdomo yanasababisha kansa ya koo.Chanzo:MedicalDaily & Wiley(OnlineLibrary)
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yan wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…