Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]kwa mbaaali namuona Stella anatunukiwa tikiti ya kupanda mwewe wa mabeberu... Kweli ongea vizuri na watu upate vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko poa rafikiMkuu nimeamka na hapa nipo nachapa mzigo kwa ofisi ya home.
Vp kwa upande wako, Je uko poa?
Hivi Ni kwamba kweli huji kunisalimia hapa mabatini ankoo?Dahh!!
Anko nisamehe bure, itabidi nijitandike vibao mwenyewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Acha niongee na Stella kama atanitangulia nimtwishe mzigo. Au la next week nitakuwa huko. Naacha utani kwenye vitu vya msingi Anko.
Nisamehe mama [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vingi Sana Hadi najuta[emoji26]Ukiacha Virai Na Vishazi Ni Kitu Gani Kingine Kimekupotezea Muda Wako Kipindi Upo Shule?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini melo ndugu yakoHata mimi kwangu inanigomea sijui shida nini aise
Suluka ntakapera tujobhe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1400217
[emoji3][emoji3] Kumbe ni maparachichi
Ni maembe[emoji23][emoji23][emoji23]Makatapera ni mapera uko kwenu?
Ni jambo jema. Mungu ni tumaini letu wakati wote
Duh h!Pata ile kitu roho inapenda shemeji. Maisha menyewe haya mafupi sana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1400178
🙏🙏Baba usinichoke mja wako [emoji120]
Roho i radhi lakini mwili u dhaifu...
Yaani kama hiviView attachment 1400184
Sent using Jamii Forums mobile app