Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
wewe mzee kwanza umeamka salama?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tabia ya kupunguza umri wa watu bwa mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepunguza umri wa SYB kisha namba zake ukamjazia Andjul.
Umenipunguzia namba zangu ukajiwekea kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nikilala sivai nguo na madirisha nayafungua.....😂😂😂😂 alitafunwa na Tandu makalio
hayo meno ya nyoka yanakuja automatic pindi anapoyatoa?kidonda huoshwa na maji mengi na kuondoa jino la nyoka kama lipo.mgonjwa atapewa dawa ya kuondoa
Itakua hivyohayo meno ya nyoka yanakuja automatic pindi anapoyatoa?
Salama bro,uzima upoShwari aisee, za masiku?
Scared To Live[emoji91][emoji91][emoji185]:The Weeknd
[emoji444]:After Hours
➣Released:March 2020
➣Type:#Album
➣Genre:#Rnb View attachment 1402760
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mzee kwanza umeamka salama?
hizo takwimu nimeziweka kwa mujibu wa saint anne (binti anasema yeye ni mkubwa kiumri kuliko shimba ya buyenze)
ikiwa shimba ya buyenze (handsome boy kutoka usukumani) anazidiwa kiumri na saint anne, ulitegemea atamzidi babu andjul?
mpemba mimi napata wapi nguvu ya kubishana na mtoto wa Mungu aliyezaliwa kwa wanyakyusa?
kama unaweza bishana naye.
log out