capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Naona wameamua kutumia akili zao sasa!Kuanzia leo bajaji na bodaboda zinaruhusiwa kuendesha shughuli zake mpaka katikati ya jiji kwa ajili kupunguza gape la changamoto za usafiri----MakondaView attachment 1405841View attachment 1405842
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inamaanisha Nini?
Hizi chumvi na utumiaji wa maji ipo
Lakini wao wanavyoyatumia sasa...
Mimi siji kwenda kufanya huo ujinga.
Juzi nilikuwa nimeweka earphones zangu nasikiliza Qaswida huku naimba..kuna watu wakawa wananikejeli,wananipinga.
Nawauliza sababu,eti wanasema nyimbo za hovyo,utapata majini..nikawauliza majini yako wapi?
Nimegundua wakristo Wengi Ni wafwata mkumbo tu,hawatulii wakasoma na kuyaelewa mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah
Asubuhi nimeangua kicheko baada ya kuona hii picha[emoji23][emoji23]
Asubuhi nimeangua kicheko baada ya kuona hii pichaView attachment 1405864
ππ hakuna asiesahau,hapo I'm sure msamaha ulikubaliwaππ
Naimani huyo ndugu yetu itakuwa alisamehewa
Nimeshakaribia Aiseee [emoji7][emoji8][emoji39]
Ndio Wewe Useme njia gani unatakaNasubiri unipe namna nzuri napataje mzigo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We tumia njia yoyote unayoona itakuwa rahisi Mimi kupokea mzigo wangu[emoji4][emoji3526]Nimeshakaribia Aiseee [emoji7][emoji8][emoji39]
Maandishi yako yamenipa picha ulivyo Ndio Wewe Useme njia gani unataka