Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Vipi huko barabarani na mambo ya levo siti au bado unatamba na ile BM yako?Ni kwema pia.
Mungu ni mwema.
Uko na karantini na mzigo huo...
BM = Baiskeli ya Mbao.Vipi huko barabarani na mambo ya levo siti au bado unatamba na ile BM yako?
πππππBM = Baiskeli ya Mbao.
Huku tumefungiwa ndani aisee ...
Acha tuu, shukrani.πππππ
Baiskeli ya Mbao
Panzi wa chuma
Poleni bro
πππ YaisheAcha tuu, shukrani.
Wewe hata sikuulizi.FYI, mabasi ya bluu ndio mwendokasi kwani najua huyajui.