Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Yaah! Ndio huyo fundi Joslin sasaHuo wimbo hiyo ilikuwa chorus,alikuwa anaimba mdada ..nitautafuta huu wimbo nikukumbushe
Niite Basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo Ni za kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππKwamba hizi habari Ni njema eeh?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Shwaini zako kd[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Davet hapa umeelewa Nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo level seat haina raha kabisa.....basi tu ni corona
Yes! sasa hivi ni MarehemuYeah..
Ngoja niload kichwani mashairi yake
Hivi mez b alikufaga eeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujambo
Nadhani na huo na wa family niwake.Yaah! Ndio huyo fundi Joslin sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kiuhalali wangewapa tu ubingwa. Probability ni kubwa sana kuwa ubingwa ulikuwa ni wenu mwaka huu. Wasipowapa hata mimi nitasikitika japo siyo sana kivile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
ππππ huyo myoya atakuwa ndio wale wanasimama nyuma ya kina dadaDavet hapa umeelewa Nini?
Ustaadh bado Sana kumkaribia japo kidogo myoya [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππππ
Hujambo
Mkali wa hizi kaziEl ChapoThe Master
View attachment 1406811
Unalipia king'amuzi au hulipii? Kicheko tu kitanisaidia nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]