Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo myoya atakuwa ndio wale wanasimama nyuma ya kina dada
Hatareee unaambiwa mzee baba π₯Mkali wa hizi kazi
Embu yale mashairi yaongezee ongezeeNadhani na huo na wa family niwake.
Sijui niukute wapi ule wimbo nikuonyeshe
Sent using Jamii Forums mobile app
π₯ na hii umeifanyia mafekeche
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amini kwambaHatareee unaambiwa mzee baba π₯
Yaah! Hii nayo imetiwa binzari ππ₯ na hii umeifanyia mafekeche
Sijui hata alikuwa anachana vipi..Embu yale mashairi yaongezee ongezee
ππππ Ostaz mtoto wa Temeke ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mkamlinganishe na ustaadh?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa haibanduki?Yaah! Hii nayo imetiwa binzari π
Mzee wa bwax mtoto wa Nje ya Ndoa πAmini kwamba
Nakulipia.....ila si nitakuwa nimekuhonga?Unalipia king'amuzi au hulipii? Kicheko tu kitanisaidia nini?
Haya madude π
Duuh!Sijui hata alikuwa anachana vipi..
Najua tu kiitikio
Sijui Ni mkenya yule..aisee kichwa changu kimechanganya mafaili
Sent using Jamii Forums mobile app
OK.....Nimeongelea kwa upande wangu mimi binafsi kinachosababisha ni hicho tu wala sio kingine......
Kama hili swala limeenea mpaka sehemu rasmi kama magazetini, nini kitatokea mbeleni kama tatizo litazidi kukita mizizi?
ππππππMzee wa bwax mtoto wa Nje ya Ndoa π