Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umesema kweli.
Mimi Kiingereza cha kuongea kimoyo moyo sio siri,nakiweza sana. Tuje kwenye kuongea kwa sauti sasa, yaani magego yanauma, shingo ina kakamaa, mikono haitulii kutoa maelezo kwa vitendo, macho hayatuliii, kichwa kinauma kwa kukaza mishipa.... Yaani ni tafrani [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiingereza cha kuongea ni changamoto kwa wengi wetu. Labda watoto wa kishua akina KD ambao kuanzia chekechea wamesoma Inglishi midiamu ndiyo wana unafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…