Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Najaribu ku form equation ya haya maelezo yako mkuu. Usiwe na wasiwasi kabisa na hilo. [emoji16]
Halafu we jamaa nimekutana na Mdimi jamaa white wa kinyamwezi kapiga six Pugu PCM na mshikaji dairekta wa Siaradibi, tulikuwa wote kwenye tuisheni na mwalimu... pale Mtendeni sijui Mnazimmoja.Miezi michache iliyopita kanipiga roba ya mbao meno 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa, bana eeh; ukimuona tena mwambie Yego alishakuwa mvuvi. Atamzukia amsaidie kupata kamkopo ka kuchongesha mtumbwi mmoja. 😁😁
 
[emoji1545][emoji1317][emoji1545][emoji1317][emoji1317]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…