moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ni nini usingizi umenigomea wakati kesho ni siku ngumu??
Naingia new posts nakuta thread pendwa ndiyo ipo on, hivi huwa hamlali humu jamani!!
Kaaaah'..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku sisi ni team popo dear tena wale popo wa corona
Hahaa..Tutaanzaje kulala wakati kuna watu kama wewe usingizi umewagomea? Acha tupige stori tupunguze stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha wengine tumeshazoea kulala masaa 4 na siku nyingine chini ya hapo na bado katikati ya siku hatusinzii, mi sikumbuki hata mara ya mwisho kulala masaa 8 ilikuwa mwaka gani.Kaaaah'..!
Mnawezaje.!? me nitasinzia huku natembea walaqhi'.!
tumeajiri roboti coronaNi nini usingizi umenigomea wakati kesho ni siku ngumu??
Naingia new posts nakuta thread pendwa ndiyo ipo on, hivi huwa hamlali humu jamani!!
Jamani pole mama, mie inatokea mara chache..!!Haha wengine tumeshazoea kulala masaa 4 na siku nyingine chini ya hapo na bado katikati ya siku hatusinzii, mi sikumbuki hata mara ya mwisho kulala masaa 8 ilikuwa mwaka gani.
Haha.!tumeajiri roboti corona
Hahaa..
And you said it well Moudy.!
Halafu kuna siku niliuliza kitu humu sikupata jibu.!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ana kanisa hapo Mwakaleli? Historia yake ikoje huyo jamaa?
Nitaisaka ile tafsiri ya Prof japo sina uhakika kama ni ya kuaminika. Usinikumbushe udwanzi wa Yego [emoji16][emoji16][emoji16]
Nitauweka wimbo wa kinyakyusa unisaidie kuutafsiri kwa KiswahiliAna kanisa hapa mjini
Amepita kwenye mikono ya kakobe(full gospel)baadaye akaamua asimame mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Hapana mpendwa.
Unakunywa hiyo?
Wewe lazima nikupige kipapai mwaka huu, naona corona itakuwa cha mtoto tu kwako; umezidi! 😁😁Ana kanisa hapo Mwakaleli? Historia yake ikoje huyo jamaa?
Nitaisaka ile tafsiri ya Prof japo sina uhakika kama ni ya kuaminika. Usinikumbushe udwanzi wa Yego [emoji16][emoji16][emoji16]
Ng'wanawane naona una Keyless Entry hapo![emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1409715
Ila nimezidisha mbili tu. Ulishabadilisha mara 5 so ai emu vere clozi tu ze truthi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi SYB utaniacha lini lakini
Mimi natumia Tapatalk yenyewe. App iligoma kuniletea notifications na picha hazionekani. Nilishaachana nayo kitambo sasa....Aise hivi hizi app zinatofautiana au?? Mbona mie yangu nikiview profile ya member yeyote hainiletei kama hivyo??
Bahati uliyopoteza hapo hutakaa uipate tena. Na kipapai sikipati ng'o !!! [emoji16][emoji16][emoji16]Wewe lazima nikupige kipapai mwaka huu, naona corona itakuwa cha mtoto tu kwako; umezidi! [emoji16][emoji16]