Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haha.!
Na kwanini ukimbilie watu Davey jamani.! Unitag ukimuona tena.!

Namshukuru Mungu ndugu yangu, wagumu tunadumu.!!
 
Hahaa.!!
Hakuna kipindi nakuwaga dilemma kama naipenda kazi yangu ama nalazimishwa, kama kipindi cha kuamka asubuhi jamani.!!
Yaani hilo nadhani huwa linamtokea kila mtu hasa jumapili kuamkia jumatatu, bora hata alhamisi kuamkia ijumaa na hata ofisini kwetu ijumaa ndiyo huwa tunawahi ila jumatatu kila mtu anachelewa.
 
Yaani hilo nadhani huwa linamtokea kila mtu hasa jumapili kuamkia jumatatu, bora hata alhamisi kuamkia ijumaa na hata ofisini kwetu ijumaa ndiyo huwa tunawahi ila jumatatu kila mtu anachelewa.
Na hivii Jana nimekesha, Leo nimechelewa zangu halafu nikakuta kumbe late comers wapo kibao, nikashangilia kimoyo moyo.! Ila honestly I do hate Mondays.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…