Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na kwamba Barry aliishi maisha yake yote kama mwanaume bado uhalisia wake ulibaki kuwa alizaliwa wakike na alipewa jina la Margaret Ann na wazazi wake na pia alifahamika kama msichana enzi za utoto wake. Barry aliamua kuishi kama mwanaume ili aweze kukubaliwa nafasi ya kusoma chuo kikuu na kutimiza ndoto yake ya kuwa dactari wa oparesheni, alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka alifikia cheo cha Inspector General ( kinacholingana Brigadier General) lakini yeye ni katika upande wa maswala ya hospital za kijeshi. Barry alifanya kazi sehemu nyingi na moja ya sehemu hizo ni South Africa. Jinsia ya Barry ilikuja kufahamika kwa watu wote na pia kwa wanajeshi wenzake siku alipo poteza maisha.
 
Korea Ya Kaskazini: Uchaguzi hufanyika kila baada ya miaka 5, kila jimbo huwa na mtu mmoja ambae hupigiwa kura na huteuliwa na Rais (Kiongozi wa chama). Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema uchaguzi wa Korea Ya Kaskazini hufanywa ili kuonekana tu nchi inafanya demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…