Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Hatuna wagonjwa wengi au ni kwamba hatujapima tu
😂😂😂 acha tuNakuona mzee uko quarantine[emoji23][emoji23]
Sasa itakuaje na chanjo huku tumegoma Africa [emoji38][emoji38][emoji38]
😃😃😃Aiseem😀😀😀
Sawa CarbaHawa walikuwa kwenye ile list
Msalimie huyo anko wetu hapo pembeni
Puma ni Simba???Puma.
Puma ni Simba wa milima ya America.
Mnyama huyu mkali ameonekana akivinjali kwenye mitaa ya jiji la Santiago huko Chile ambako wakazi wa jiji hilo wapo kwenye Lockdown.
Mamlaka za mji huo zimesema kwamba huenda Simba huyo ametoka kwenye milima inayozunguuka jiji hilo View attachment 1414912
Kutumbua unatumbua na kufa hufi...na ugonjwa unaisha ghafla....Wahenga wote tutaisha ngoja nitumbue pesa zangu kabisa[emoji16]
Kwani unaogopa kufa? Hujajiandaa?Kuna Watu wanacheza na moto, acheni huo upuuzi wa kusema tumechoka kukaa nyumbani panaboa, hela hakuna wala biashara, ukitaja corona umetaja kuishi au kifo sio jambo la kufanyia mchezo, kaburini hakuna biashara, pesa na wala hakuna utakayemwambia panaboa, acheni ujinga”-MUSEVENI
Nakuona mpendwa
Mweh!! Hia wi go.. tru data zinaanza kutajwaWaziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohammed amesema wameongezeka wagonjwa wawili wa corona na kufanya idadi ya wanaougua ugonjwa huo Zanzibar kufikia tisa, wagonjwa hao wapya hawakuwahi kutoka nje ya kisiwa hicho
Borea ule.. usipokufwa utatafuta nyingine..kuliko kuziacha wazitumbue wengineKutumbua unatumbua na kufa hufi...na ugonjwa unaisha ghafla....
By the way; hata maandaeitini unaua japo siyo sana.....
Mguu kama wa Babaake😁Msalimie huyo anko wetu hapo pembeni