Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mashaka matupu
 
Baadaye wanasayansi walitumia historia kama hizi kuja na majibu ya kisayansi kuwa damu huwa na makundi yake maalum pamoja na chembechembe fulani katika nyuso za seli ambazo kama haziko kundi moja hutokea mpambano wa chembe hai na mtu hupoteza maisha.
 
Damu huwa na sehemu iliyo na maji maji ambayo kitaalam huitwa plasma ambayo ni asilimia 55. Hii imesheheni vitu vingi yakiwemo maji kwa asilimia 91, gesi ya oksijeni, kaboni dayoksaidi, protini, askari mwili, vimengโ€™enya na madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ