Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Nimetumia usafiri wa ungo usiku sikutaka kugusana na kwapa za mtu yoyote nipo kwedikwanzu huku.ππ
Umekimbia kwa kutumia usafiri gani Mpendwa, ni ule ule ulionionyesha mara ya mwisho au?
tuuze ndege bombardia baadae tununue mashine
π€£π€£π€£π€£π€£ amejua kusadifu haswaaπππ damu yetu kabisa
Trump leo kakiri kuwa haitawezekana kuwa na mashine nyingi za kufanyia vipimo kama wanavyotaka; na havihitajiki sana japo watu wanakufa. Na anataka kuondoa quarantine mwishoni mwa April. Afe refa afe kipa uchumi lazima urudi katika hali ya kawaida....
ππππ mjanja mjanja weweNimetumia usafiri wa ungo usiku sikutaka kugusana na kwapa za mtu yoyote nipo kwedikwanzu huku.
ππππ€£π€£π€£π€£π€£ amejua kusadifu haswaa
ππKwa nini mpendwaππππ mjanja mjanja wewe
Basi tu umekuwa mtu wa kukwepa sana vitu πππKwa nini mpendwa
Puma ni Simba???