Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakumbuka Anko....

Hizi comments za Wachina juu ya mtu mweusi zinatia simanzi sana, nimejisikia vibaya
 
Nakumbuka Anko....

Hizi comments za Wachina juu ya mtu mweusi zinatia simanzi sana, nimejisikia vibaya
Ila malalamiko yao yana ukweli.
Tunaendekeza porojo kuliko kutatua shida zetu kwa vitendo. Hadi tunaombewa kifo ezi ifu hakuna wanacho nufaika kutoka kwetu.
Fuatilia matatizo ya nchi ya Haiti miaka michache iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unafikiri Anko wanadanganya basi? Ndio maana ata kipindi kile Trump katupiga madongo watu wa Africa mimi nilikuwa upande wake kabisa

Sema ni vile tu hao Wachina walivyotuongelea ni kama wadudu fulani hatustahili ata kuwepo hapa ulimwenguni 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…