moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ta tata tayaaaaaariiiiiiiiiNatamani nikuone sijui nitakuona vipi
Natamani nikufwate sijui nitakufwata vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe utanifundisha Zaidi si eti?
Kuna habari gani mpendwaTa tata tayaaaaaariiiiiiiii
Amkeni amkeni amkeniiiiiii[emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Mmeninyanyasa mnoBebe carantin ikiisha niambie nimtume Stella aje na yeboyebo
#kazinjema[emoji125][emoji125][emoji125]
Corona tu mpendwaKuna habari gani mpendwa
Nani anakunyanyasa toto zuri?[emoji23][emoji23]Mmeninyanyasa mno
Natafuta nauli hapa nije nione Nini kinaendelea na hizo yeboView attachment 1416350
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahh Sura ya Ulinzi hii sio ya Kuweka Avatar....Weka hii nzuri nzuri
Nimenawa mpendwa πCorona tu mpendwa
Umenawa mikono?
Kwa vile hakina chogo unalingisha mpendwaMmeninyanyasa mno
Natafuta nauli hapa nije nione Nini kinaendelea na hizo yeboView attachment 1416350
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujifungua kivipi anko ππMungu ni mwema ndugu yangu, ni mwendo wa kujifungua tu. Tuombe Mungu hili nalo lipite.
Sent using Jamii Forums mobile app