Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Napamba uzi
Tatizo mvuaAiseee hata kualikana bila bila ubweche wapi leo😋😋😋
Kwamba vitamu havipikwi leoTatizo mvua
[emoji38][emoji38][emoji38]kweli Kaka Ni Noma SanaHaha! Kwa hilo jini kweli lazima mzigo ufike mzee, sema kuwa makini unaweza kusahau hata kula maana hiyo kitu huwa inateka sana akili
Umetisha sana mzee 😀Napamba uzi
Driving games nyingi huwa na sifa ya kuaddict kwasababu yanakupa uwezo wa kujiona kama kweli upo kwenye chombo husika kumbe upo magetoni tu unaangalia screen na kubofya buttons 😀[emoji38][emoji38][emoji38]kweli Kaka Ni Noma Sana
Nimewah Cheza kwanzia saa 10 jioni Hadi saa nne usiku sikuamini
Sijaona addictive game Kama ile Aisee
Ni kijana mwenzetu huyu mpambanaji haswaView attachment 1417169
Akili yangu haina akili...
Hivyo hivyo fresh tu mzee, watu wa mkoani wanaelewa sasa? 😀
Huku chatow jua kali balaahuko kwenu unyamwezini hakuna mvua?