Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Sijambo, umenisusa na sikukuu hiiMambo bae? Haujambo
😂😂 Eti kabla Jogoo hajawikaPrincess Runner au Subway surfer....ila hayana tofauti kubwa, nilikuwa nacheza la princess runner nilivyobadilisha simu sijadownload tena......
Kabla jogoo hajawika nitakuwa nishadownload la Subway surfer
Basi sawa Carba enjoy haliHana shida kabisa,maana ananifanya niendelee kulala tu
Haupatikan kwenye ya mkonon..nmeshapiga sanaSijambo, umenisusa na sikukuu hii
Yote yanaitwa Subway surfer/ subway princess runner......😂😂 Eti kabla Jogoo hajawika
Kweli hayana tofauti japo nilimaanisha Subway surfer, alafu pia kuna Nigh Princess runner basi huyo mdada anaekimbia ana msambwanda hatari
Unadanganya 😂😂😂 emu nenda kwa wakala mkajaribu vizuriHaupatikan kwenye ya mkonon..nmeshapiga sana
[emoji111][emoji111]Basi sawa Carba enjoy hali
Pole Tena?Duh! Pole sana
Hahah! Sijakushawishi uichukue nilikuwa nakupasha habari tuYote yanaitwa Subway surfer/ subway princess runner......
Hahah hiyo Nigh princess wako baki nae mwenyewe (kisa tako. Lol) me nitabaki na Temple Run
Hahah! Basi hongera sanaPole Tena?
Nipe hongera..jikoni Raha[emoji23] hasa chakula kinachoeleweka kama Cha Leo
Vipi yale yangu madeni?
Sent using Jamii Forums mobile app