Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo bhana
 
Angalia Treadstone
 
Amina kubwa sana anko,
Ila ujue umeniacha na mixed feelings? Nimeshindwa ni like na ka emoji ka thanks, love ama nicheke,

Eti kizungu hakipandi mpaka nilewe.!
 
#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo bhana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani ile Anko muanzisha uzi alivyo kimwaga tu, nikaona akina Anko wengine hao na vimayai vyao...
Sasa mimi nilisoma somo la siasa huku nikikariri ramani ya Tanzania na wakuu wa mikoa/wilaya bila kuwasahau mawaziri, hicho kimayai ningekijulia wapi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…