OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Dah cjui wanakwamia wapi aise..Hawa rappers na unga dah! Binti mdogo tu halafu mrembo....Sad !!!
View attachment 1415135
Yeah mzee baba ..utaanguka utasimama tena..Safari ni lazima iendelee no matter what [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1415137
Yupi huyo?Hahahaa.
My name is my name.!
Halafu hiyo nahisi ni ID ya member flani hivii.!
Mkuu turudi nyuma kidogo..Ntaweka Ngoja Niombe ruhusa Kwanza [emoji22]
Unabalaa Wewe full pamoja na nini ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankooo hivi Ni Nani aliweka picha namdai Leo?Upako Anko, upakoooo wa malaika umenidondokea kwa mara ya kwanza [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo TH.Haha, How are You Coco?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] AmenHapo kwenye sala nakubali. Tena ya kwangu nikikutumia iweke chini ya mto wako kabisa uwe unailalia ili ipate upako non stop.
Wito na kipaji chako ni kuombea watu na kuwapa faraja na Amani ya Bwana Yesu. Utajaribu kufanya vitu vingi lakini hutapata ridhiko la kweli. Sala zako zile zimekuwa nguzo muhimu kwangu ninapotingwa. Una mibaraka na upendeleo wa ajabu sana mpendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Morning mdogo wangu.. Nitakutag kwa siredi yake.!!
Hivi anko hizi nyama zilishia wapi?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Anne...
Jumamosi tutaonana nakuja kula nyama za kuchoma Iyunga-stand
Sent using Jamii Forums mobile app
Morning sisyMorning mdogo wangu.. Nitakutag kwa siredi yake.!!
Whooops'...Hbd!
Nenda kaoge maji ya baridi usingizi utakata..Depal
Mdogo wangu usinikumbushe khabari za Jana hapa nilipo nina usingizi hata macho hazioni mbele.!
Cake yako inakufikiaje mrembo?
Ni nyimbo nzuri piaNimeipenda mellody[emoji91].....thank u [emoji23]
#nipoActive[emoji445]