Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Naanzaje kutania mpendwa πHivi unasema kweli au unatania? π
πββοΈπββοΈ
[emoji23][emoji23][emoji23]sonko anaupendo wa ajabu sanaLisonko lina upendo sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ningekapata hako ka-"santana" ningekosha koo kwa raha zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama hii[emoji7] ila ina nyotaView attachment 1422549
Hiyo emoj [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba ma-mood aona hapa [emoji111]
[emoji2][emoji2] ohooHii ni romance?
Hebu mtaje tuone[emoji23][emoji23]Sijui nimtaje mtu hapa? [emoji23][emoji23]
ππHuu siujui [emoji1751]
Naujua tu ule duro na Pana
Nili niliona
Pipi pipicha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila raha ya kumuangalia konokono kichwa kiwe kimetokeza nje,mimi huwa nashindwaga hata kupepesa macho. Kama huku kwetu na hii hali ya baridi konokono wanakuwa wa shida sana, muda wote wapo kwenye majani,naishia kutamani kuwaona...
Samahani kwa maelezo marefu
#nimeguswasana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni yule wa ukutani jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo naanzaje kukubishia sasa?
Kulipa kodi nyumbani ni wanga[emoji23][emoji23].
Halafu hapo kwenye limjusi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Filigisi ya kuku nakula ila konokono aiseee sitaweza una ujasiri mpendwaNdiyo.
Nimeishi visiwani, nilianza na chaza. Kama unakula filigisi, basi, usiogope kula konokono
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hata mimi niliona[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Socco socco socco socco [emoji445]
Ile taarifa iliiwangia nikaona niitoe [emoji2]
FAIDA 10 ZA KUKUMBATIANA
Kitendo cha kukumbatiana sio tu kinaleta upendo na kuileta jamii pamoja bali kina faida kubwa za kiafya na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa, watu hushauriwa kukumbatiana angalau mara 8 kwa siku.
ππππ siku hizi umekua na kichwa kama cha Carba huishi kuwaza mbali....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimewaza mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeh!Huu siujui [emoji1751]
Naujua tu ule duro na Pana
Nili niliona
Pipi pipicha
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe muda.
Ndio ujinga wetu,sijui kama ipo siku tutaelimika na kujitambua kuepuka kutumika kama ngaziKama nakuelewa hivi ankali[emoji848][emoji848]
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji8][emoji8]Ndo mana nakupendaga[emoji4]
Kwanini sasa hayupo Mpendwa au tutaongea baadae? πNaanzaje kutania mpendwa π