Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwenye limao hali ikoje?Kiwango cha asidiKama ilivyo kwa jamii ya matunda ya citrus, machungwa nayo huwa na hali ya aside, yenye kiwango cha pH karibu na 2.5 -3, kulingana na umri wake, ukubwa na aina ya chungwa. Japo si kama ilivyo kwa limao, bado machungwa huwa na kiwango cha asidi cha kutosha
Napenda sana matunda,Je Ninapaswa Kula Machungwa Mangapi kwa siku?Inashauriwa kula chungwa moja au mawili kwa siku, kwani hii hutosheleza mahitaji ya Vitamin C na madini mengine mwilini. Ulaji wa machungwa mengi sana(zaidi ya 50) kwa siku unaweza kusababisha kujaa Vitamini C (hypervitaminosis) ambako ni hatari kwa afya.Kumbuka kuwa hata chungwa moja tu ukila lina kidhi yale mahitaji muhimu ya mwili ya kila siku (daily requirement), iwe chungwa lenyewe au juisi yake halisi.
Na anavyocheka sasa.Nimecheka balaa 😀😀
😂😂😂
Safi kabisa mkuuNapenda sana matunda,
Lakini katika maisha yangu imetokea kuwa matunda ya aina Tatu huwezi kuyakosa kila siku,
1.Chungwa 2. Ndizi za kuiva
3.Baadaye Tikiti.
Nimefurahi kujua faida nyingi za chungwa kwani Mimi ni mlaji mzuri, pia familia yangu.
1. Vumbi la mguu - SnuraOnesha unavyochumaga mchicha ,tembele.
Hivi huu mstari upo kwenye nyimbo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia unaweza kuutumia kwenye hii pichaOnesha unavyochumaga mchicha ,tembele.
Hivi huu mstari upo kwenye nyimbo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app