Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jaman numbi, uko poaKunywa na uanze siku mpya. Ni vizuri ukafanya hivi dakika 30 kabla ya kula kitu chochote kwa faida zaidi.
Poa kabisa,mzima?
Hivi ulibadili ID au?
Hicho kifaransa inabidi nipate mkalimani ππNa anavyocheka sasa.
Mais pourquoi ton insta est en franΓ§ais?πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Wewe jidanganye tu. Siku ukikauka wakati uko "Gilman Point" sijui atakushusha nani kutoka huko! ππ ... Kheri Mlugaluga?πββοΈπββοΈπββοΈWeweeee.... Soma tafiti za binti mpole [emoji16][emoji16][emoji16]
#kitunguumajikimenifanyaniwekijana
Sent using Jamii Forums mobile app