andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jidanganye tu. Siku ukikauka wakati uko "Gilman Point" sijui atakushusha nani kutoka huko! [emoji16][emoji16] ... Kheri Mlugaluga?[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nilikuwa nafua ankoo imagine nikamkumbuka head girl Numbie, alinishauri nifue huku nachat..!!Marahaba Anko. Najivunia kilimo cha vitunguu maji...
Natembea kifua mbereee[emoji16][emoji16][emoji16]
Niombee niache "uchiinka" (in Carleen's voice)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tukumbushe ya huko nyuma, inaonekana upo humu tangu 2018.
Shukrani ndugu yangu. Huu mpambano ni mgumu; adui asiyeonekana huyu ni hatari.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kheri ndugu yangu, endelea kupambana huko kwa umakini[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa nafua ankoo imagine nikamkumbuka head girl Numbie, alinishauri nifue huku nachat..!!
π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usikute mie ndiyo naweza kuwa mwalimu wako kwenye huo 'uchinga'
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] daah haina neno basi msalimie tu muambie amemissika sana
Nitapata 'eksipiliensi' ya ban ya masaa.!!π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama si mzoefu Ban itakuhusu muda si mrefu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwetu kawasha taa nyekundu, yupo all over.... kwa taarifa ya leo though hatujui ni kiasi gani ipo accurate...Shukrani ndugu yangu. Huu mpambano ni mgumu; adui asiyeonekana huyu ni hatari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiburi kitakuponza, huyo hedigero wako machungu yake anavuka nayo Kenya kujipoozaNitapata 'eksipiliensi' ya ban ya masaa.!![emoji28]
π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiburi kitakuponza, huyo hedigero wako machungu yake anavuka nayo Kenya kujipooza
Sent using Jamii Forums mobile app