Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

“Jumla ya watu waliopata maambukizi ya corona nchini sasa ni 284 kutoka 254 tuliowatolea taarifa April 20, 2020, mchanganuo wa wagonjwa wapya 30 ni kama ifuatavyo, DSM (10), Zanzibar (9), Mwanza (4), Pwani (2), Kagera (1), Dodoma (2), Manyara (1) na Morogoro (1)”- WAZIRI UMMY
 
Mkuu kwanza nikupe pole, kisha nikupongeze kwa uamuzi wako wa kijasiri kututangzia ndugu zako. Lakini inaonekana tatizo lako ni mafua ya kawaida
Ila naomba nakushauri.
Kama unadhani kwa hakika ni kweli umepata maambukizi, jitokeze mbele ya matabibu wanaohudumia maambukizi mapya ili upate vipimo na kisha utenganishwe na
jamii inayokuzunguka.
Hii itakusaidia wewe na wapenzi ndani ya familia yako.
Mara nyingi nikiwa na mafua huwa nakula machungwa, jana jioni nimekula ya kutosha naona kidogo yameachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…