Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
✔✔Tumbo halina shukrani haliridhiki utakula sasa, mchana, usiku tena tumbo litahitaji tena kwa hiyo tumia falsafa au moto huo kutafuta kila siku bila kukata tamaa, weka malengo na mipango kwa maisha yako ya sasa na ya baadae.
Dakika nane sisi tayariBado dakika nane tule futari
Cheiiii jamaa kala hadi cha kesho kutwa hahahahaDakika nane sisi tayariView attachment 1431323