moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hapana mkuu ni mara tatu kwa wiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngosha bana. Huku zimejaa mask za vitenge daah daah
Safi kabisaKunywa maji bado ni changamoto sana kwangu. Ila sasa hivi najitahidi kila asubuhi ninaweka jagi la lita 2 mezani kabla ya kwenda kulala niwe nimeyamaliza. Ila nimejikuta siku nyingine naongeza hadi zinafika 3.
Makada nao hawapitwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora huko kwenu mask ni za vitenge,huku kwetu ni mifuko jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🙏🏽🙏🏽Safi kabisa
Ugonjwa huu waafrica walidhani ni kitu rahisi na itatuacha pahali pabaya sana.COVID 19.
Takwimu za mpaka leo asubuhi.
1.DR Congo 471 vifo 30
2.Kenya 374 vifo 14
3.Tanzania 299 vifo 10
4.Rwanda 212
5.Zambia 95 vifo 3
6.Uganda 79
7.Msumbiji 76
8.Malawi 36 vifo 3
9.Burundi 11 kifo 1
Ripoti hii kwa mujibu wa utafiti wa chuo kikuu cha John Hopkins.
Kutokana ya taarifa ya Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa aliyoitoa mchana wa leo jumatano April 29 2020, Tanzania imepata jumla ya maambukizi 480, kwahiyo Tanzania inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa kwenye nchi za maziwa Makuu ikifuatiwa na DR Congo.
Kumbe lile wazo langu wamelifanyia kazi. CCM wanilipe hata percent kadhaa tu.Makada nao hawapitwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1434722
View attachment 1434469
Mwanamke wa Kisukuma akiwa na barakoa.
Hamna hizo mambo ni self isolation na measures mbalimbali ikiwemo kupimwa kabla hujaingia kupata huduma mahali popote penye huduma za kijamii.
Yaani huu ndo wakati wa kujishaua na hizi barakoa.Makada nao hawapitwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1434722
Bila shaka kuna Wasukuma huko [emoji16][emoji16][emoji16]Bora huko kwenu mask ni za vitenge,huku kwetu ni mifuko jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kifumbasi ni nini? Mjohoro je? Umepata kazi BAKITA ama? [emoji16][emoji16]Bro inabidi uende kiafrika zaidi, tafuta huko kifumbasi, majani ya mjohoro, majani ya mu40 na tangawizi, changanya jifukize
Achana na hao watu we jifanyie yako
Sent using Jamii Forums mobile app
imekaa bombaYaani huu ndo wakati wa kujishaua na hizi barakoa.
Mzee wa kufikiria nje ya boksi anakwambia tushone za kibishoo zaidi.
Nna mpango wa kushona hiiView attachment 1434726
Nimechoka shemu. Nitaendelea kupambana mpaka lini? Bora nihame tu kwa kweli. Hata huko kwako nikaribishe tu unifundishe abcd za kabila lako mengine nitayajua huko mbele ya safariShemeji umeongea kwa uchungu sana[emoji23][emoji23][emoji23]