Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wawajaribu black American huko!!

Sisi tunazitaka ila hata hvyo lazima zichelewe mpaka January tutakuwa tumeathirika kiasi gani!!!??!

Hii ni changamoto kubwa tu muhimu kujilinda tu mana option hazizidi mbili either tusubiri chanjo huku tukifanya tahadhari ambazo kimsingi tumechelewa kuzifanya 2:Tusubirie herd immunity ambayo ni survive to the fittest ituamulie maisha yetu..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama huko lockdown imewashinda nguvu huku ingekuwaje jamani. Ila naona huku lockdown itakuja automatic kwa wabongo wabishi kujizuia wenyewe majumbani mwao.

Daraja la chini tunajionea huruma ila pia kwa viongozi ni matumbo joto hatari
 

Black Americans wapo katika mazingira tofauti. Muhimu sana kufanya parallel testing kwa kila category ya population. Ikitokea chanjo ikaletwa na hamjafanyiwa majaribio ikashindwa kufanya kazi vizuri napo mtalia ubaguzi mmeletewa chanjo mbaya ili muendelee kufa.

Herd immunity sawa lakini wengi sana wataondoka. Halafu ajabu ni kwamba hata waliougua wakapona bado wanaambukizwa tena kitu ambacho si cha kawaida. Na bado hawajajua kwa nini hili linatokea.
 
Sasa kama huko lockdown imewashinda nguvu huku ingekuwaje jamani. Ila naona huku lockdown itakuja automatic kwa wabongo wabishi kujizuia wenyewe majumbani mwao.

Daraja la chini tunajionea huruma ila pia kwa viongozi ni matumbo joto hatari
Uchumi umeanguka na wanaogopa total collapse. Pamoja na kutoa pesa za kujikimu, kugawa vyakula, mabenki na watoa huduma kuahirisha malipo ya mikopo bado hali haijawa nzuri. Ndiyo maana wameamua lockdown iishe tu japo watu bado wanakufa kama kawaida.

Vifo vya viongozi ndivyo vinatangazwa, vipi kwa watu wa kawaida? Nimemsikia Mh. Msigwa akilalamika kuwa eti watu wanazikwa usiku usiku bila hata ndugu zao kujua. Mungu Aingilie kati aisee ...

 
*SEMINA NA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE. [30 APRILI - 03 MEI, 2020 SAA 10:30 JIONI - 12:00 JIONI].*

YOUTUBE CHANNEL:
*CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE TV.*

Bonyeza link hapa chini ili kuweka KENGELE (Reminder) [emoji931] na SUBSCRIBE ili Semina inapoanza upate taarifa (Notification).

*LIVE DAY 2 (01/05/2020) YOUTUBE:*
[emoji1371]DAY 2: #LIVE #SEMINA NA MWL. CHRISTOPHER #MWAKASEGE [01- 03 MEI 2020 SAA 10:30 JIONI ]

*LIST YA REDIO NA TV:*
[emoji1371]ONLINE SEMINA YA NENO LA MUNGU KUPITIA UPENDO TV NA REDIO MBALIMBALI

*MARUDIO YA SEMINA (NI KUANZIA SAA 2:30 USIKU HADI SAA 4 USIKU) KUPITIA*
*REDIO SHALOM FM – ARUSHA*
Frequency – 97.3 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
- Arusha,
- Manyara (Babati),
- Kilimanjaro (Mwanga) na
- Baadhi ya maeneo ya mkoa wa Singida.

Mungu awabariki!
 
Kwa bahati nzuri (tuko) tunaendelea vizuri, siku hizi hatuna dalili yoyote," Dybala alisema mwisho wa Machi.
'Nilikuwa na dalili zenye nguvu, nilichoka haraka sana, wakati nilitaka kufanya mazoezi, nilikuwa napumua baada ya dakika tano. Hapo ndipo tuligundua kuwa kuna kitu hakikuwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…