Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Straika huyo wa kimataifa kutoka Gabon, mkataba wake unatarajia kumalizika Juni, 2021, mpaka sasa amegoma kuongeza mkataba mpya licha ya mabosi wa Arsenal kukaa nae mezani kwa ajili ya mazungumzo, mchezaji huyo hakuonesha dalili zozote za kuongeza mkataba mpya.
 
Uzi gani huo ??
 
Wakishua nilikuona ulivyokua unashambulia cheiiii hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…