Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Labda huko kwenye app huku kwenye browser ukimpiga ignore humuoni
Kwenye App unamuona kama ignored japo huwezi kuona jina lake wala post zake. Ila ukibofya hapo kwenye ignored unaweza kuona post zake ukalaiki na hata kumkwoti...na kama ulishawahi kuwasiliana naye bado anaweza kukuPM kama kawaida...
 
Aiseee...

Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Telegram masikini hawamo japo ni bora kuliko Whatsapp mara mia...Walichelewa....
 
Mchezaji wa zamani wa Barcelona Seydou Keita ametoa msaada wa chakula kwa familia za wananchi waliojizuia nyumbani 'Lockdown' kwenye mji wa BAMAKO.
Mchezaji huyo ametoa kwa kila familia Kiroba cha unga, mchele, sukari na mafuta ya kula ambayo yote kwa jumla vina thamani ya sh milio 100.

Kwa niaba ya waafrika namshukuru Seydou Keita kwa msaada huo kwa ndugu zake huko Mali .
Waafrika wengine wenye uwezo waige ukarim huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…