Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
AiseeFAIDA YA MUHOGO
Chemsha muhogo
Kula mara mbili kwa wiki na mboga yake tia nazi
Unashika mimba kwa haraka
Mh!Ukweli umemponza.
Sijui hata ametolewa kwa sababu zipi..
Hii nchi bwana..wanatolewa wataalamu wa afya, wasemaji wamebaki waliosoma kiswahili Kama Mimi.
Mambo ya afya yanatiwa siasa humohumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepata msamiati mpya.
Kuhondomola
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji818][emoji818]CHEMSHA MUHOGO KUNYWA MAJI YAKE NI DAWA YA KUZUWIA KUHARISHA
SawasawaTENDE TUNDA TIBA LINALOFANYA MAAJABU YA UPONYAJI WA AFYA YAKO
AiseeNigeria:
Imeagizia shehena ya dawa ya kutibu Covid19 (Covid Organic) kutoka Madagascar...
Rais wao ndiyo wa kwanza kuitumia kabla haijaruhusiwa kwenda public nchini mwao...
Cc: mahondaw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepata msamiati mpya.
Kuhondomola
Sent using Jamii Forums mobile app
utotoni hukooo eti ukifanya hivyo .... hahahhahaBado tunaongelea half cake au kitu kingine? Akili zangu hizi dah !!!
Naomba moja yenye sura mbaya nami nionje huo utamu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 1447187