Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahaa auntie bana ushaiona bride of water god?Sijaona hata auntie, ila siku hizi nikikuta mtu kaandika kaneno kafupi najua ni movie tuπ¬
Ana sauti tamu sananimekimbilia account ya instagram....dah amechoka sana lakini sauti yake imebaki vile vile
genius katika ubora wake
wewe acha tu.......kule kwetu korea yupo muimbaji wa gospel anaitwa sohyang naye ana balaaa......hawa watu sijui waliumbwa na spika ndani.Ana sauti tamu sana
Hata moja sijaona hapo auntie, mie mgeni mgeni assiansHahahaa auntie bana ushaiona bride of water god?
Na hii find me in your memory
alipata watoto kwenye ndoa yake?
nikufungulie tuition...acha kuangalia movie za wazungu...Hata moja sijaona hapo auntie, mie mgeni mgeni assians
AiseeCeline mwenye maskani yake pale Las Vegas, Marekani, alianza kukongoroka mdogomdogo mara tu baada ya kufiwa na mumewe kipenzi, Rene Angelil, mwaka 2016.
Domokaya kawekeza kwenye kunengua zaidi kuliko kuimba. Na timu yake huwa wanapenda kumpambanisha na wanaija bila kuangalia wale wanaimba na wanajua wanachokifanya kuliteka soko LA ulayawewe acha tu.......kule kwetu korea yupo muimbaji wa gospel anaitwa sohyang naye ana balaaa......hawa watu sijui waliumbwa na spika ndani.
nasikia domokaya ameshindwa kuimba live, anasingizia jiko lake halijakamilika
kuimba live na jiko la kupikia ugali wapi na wapi
nimepata jibu kupitia account yake ya instaHapa mpaka nikagoogle
Zakizungu ndio zenyewenikufungulie tuition...acha kuangalia movie za wazungu...
muda wote wapo serious utadhani wamebanwa na choo kikubwa na chooni kuna mgonjwa wa tumbo la kuharisha
naangalia gangs of london seriesZakizungu ndio zenyewe
Mh!!Celine anakataa katakata kuwa hana tatizo lolote la kiafya na si kweli kwamba ana msongo au kushindwa kula kutokana na kumpoteza mumewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utafiti uchwara:
myoyambendi ndiye kigogo wa twitter
Nayatoa wapi makubwa yale....utafiti uchwara:
myoyambendi ndiye kigogo wa twitter
simba mwenda poleNayatoa wapi makubwa yale....
Nataman niwe mwenyeji huko ulipo,maana korea kila kona nishaifahamuHata moja sijaona hapo auntie, mie mgeni mgeni assians
π π π π mwalimu mwenyewe unanisemanikufungulie tuition...acha kuangalia movie za wazungu...
muda wote wapo serious utadhani wamebanwa na choo kikubwa na chooni kuna mgonjwa wa tumbo la kuharisha