Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,275
- 13,575
😎😎😎 miwani ya mbao...😂 😂 😂 😂 mwalimu mwenyewe unanisema
Karibu sanaa huku, utapokelewa kwa mikono miwili na vijana wako ningendako na DavetNataman niwe mwenyeji huko ulipo,maana korea kila kona nishaifahamu
😂 😂 😂 😂 😂 umenishinda😎😎😎 miwani ya mbao...
andaa daftari lako na penseli..
sitaki maneno commando happiness
my mister imeshindwa kukutoa hata doto la machozi
commando happyyyyyy
Usiku wa kula vilivyonona [emoji3533][emoji3533][emoji3533]Usiku wa raha
Kwa hiyo na wewe ukaamua uje ugombanie like Mr. Tochi 28? Na kucheka ukaacha?Huu Uzi nimeuona tu nikacheka...Sana watu wanavyogombania like...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kukondeana kwa wazungu si ndiyo urembo? Sasa wanamcheka nini mama wa watu?“Nafanya mazoezi mara nne kwa wiki. Watu wanasema nimekuwa mwembamba sana, lakini hawajui ni kwa kiasi gani ninajituma kuwa hivi nilivyo!”
Pamoja na utetezi wake huo, maelfu ya mashabiki wake duniani kote, wameendelea kumlaumu kila anapoweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram juu ya kukondeana huko.
Sehemu ya maoni hayo yanasomeka;
“Celine sasa unatisha, umekauka sana.”
“Celine umekondeana sana, ngozi imekakamaa.”
“Celine tangu nimeanza kukuona na kuwa shabiki wako, sijawahi kukuona hivi, unatisha!”
SafiiiiUsiku wa kula vilivyonona [emoji3533][emoji3533][emoji3533]
View attachment 1460358
Mungu atupe afya na uzima
Amina Amina AminaUpendo wetu udumu