moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kanajua sana bali kanasumbua tu [emoji16][emoji16][emoji16]Kwani ina maana ulikuwa hujui?
Barack Obama mama yake ni mzungu raia wa Marekani.
Babake anaitwa Baraka Hussein Obama.
Mkenya wa Kisumu. Mjaluo ambaye baadhi ya ndugu zake wanapatikana wilayani Rorya Tanzania
Hii ndiyo jamii ndani ya forum hadi raha.