hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Keep it upHahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo ukijizatiti hakikuangushi.
Sana sana kilimo cha kumwagilia.
Kilimo cha umwagiliaji kina maadui wachache sana kuliko kilimo cha msimu
Njooni Morogoro kwenye bonde la mto Wami/Ruvu tupige pesa kwenye kilimo cha mahindi ya kuchoma, tikiti maji, vitunguu saumu na vitunguu maji.
Pesa njenjeMambo ni kama hayo.
Rafiki mkubwa ni maji tuView attachment 1468754View attachment 1468756View attachment 1468757View attachment 1468759
Ni app yao wakati mwingine huwa inafanya hivyoHv inakuwaje hadi simu haileti notification?
Au ni simu yangu kimeo?
Hakuna mkulima hapo ndugu yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Keep it up
Ndiyo aisee...umegeuka mwalimu wa darasa?
jana na leo
Jamaa wako wengi sana aiseeWachina naona wanataka kuleta mapinduzi sasa
Heshima ya ukoo lazima ilindwe kwa namna yoyote,Samson aliburuzwa na kimbaumbau Delila mimi ninani hata nikajizuia kuhendemula futa kama hilo[emoji1][emoji1][emoji1]If he dies he dies....
Shemeji nakusalimia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1469606
shida ipo kiupande wangu, bado sijawa na device ya uhakika ya kuniunganisha kwenye ulimwengu wa internet.Ndiyo aisee...
Shida tupu yaani. Natumaini kila kitu kiko salama huko visiwani
Naam population yao tu .nitishio tosha ni biashara tosha ndio maana tiktok imeibuka ghafla nakuipiga gape mitandao mingi mikubwa ... Kama wakifanikiwa kuliteka soko la India na africa aisee USA watakuwa na wakati mgumu sana na platform zaoJamaa wako wengi sana aisee
Nakumbuka daahh yule jamaa alikuwa amevurugwa mnooMwaka 2014 binadamu raia wa Marekani mtaalamu wa wanyamapori anayeitwa Paul Rosolie aliamua kumezwa na nyoka aina ya Anaconda ili tu kuchunguza maumbile ya ndani ya nyoka huyo.
Hahaha kwa hiyo ametunywesha chai ?Hakuna mkulima hapo ndugu yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]