Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Simu ya kwanza ya mkononi ilitengenezwa mwaka 1973 na Martin Cooper ambaye alikuwa mfanyakazi wa kampuni ya kompyuta wakati huo ya Motorola. Baada ya kumaliza kuiunda simu yake ya kwanza mwaka 1973, Martin Cooper alipiga simu ya kwanza kwa kutumia simu ya mkononi kwa kuwapigia washindani wake kwenye soko la mawasiliano na akawaambia kuwa amewapigia kwa kutumia simu ya mkononi.
 
Nani huyu?

Kwa maoni yako unafikiri nani anafaa kati ya wagombea hawa?
magufuli alimpa nafasi ya ubalozi wa misri, nje ya hapo sifahamu rekodi yake ila ndiye mgombea anayepigiwa chapuo na wenye chama chao kwa upande wa Zanzibar (na hii kampeni haijaanza jana wala juzi)

pia ni vigumu sana kupima ubora wa hussen mwinyi (ni kiongozi ambaye amehudumu taasisi moja isiyoonyesha Dhahiri changamoto, sijawahi kusikia wanajeshi wakilalamika)
 
Uko sahihi. Wanajeshi mambo yao ni ndani kwa ndani. Hawaruhusiwi kuyaweka bayana labda kama ni uasi; na ukiropoka tu court martial inakusubiri unashushwa cheo au kufukuzwa kabisa. Ni wizara moja poa sana kwa kweli.

Hakuna memba wa familia ya Karume anayegombea? Kama yupo prospects zake zikoje au familia hii haina haiba kama zamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…