Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

sahihi kabisa,
 
Kwenye daladala ndo kabisaa hatuna wasiwasi. Ila bado wenye vikohozi na mafua wanaangaliwa kwa uoga
Bar zimefurika, vijiwe vinajaa, mikusanyiko kila kona bila barakoa, watu wanapeana mikono kama zamani.
Yaani ni full shangwe.
Maisha kama zamani tu.
Inashangaza na kuogopesha tukisikia takwimu za Corona kwenye mataifa jirani na kwingineko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…