Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ina maana huko hakuna mvua wala mimea au viumbe hai? Na huko Mars je?Kama utakanyaga mwezini basi alama za unyayo wako zitabaki zaidi miaka million 100 kwa sababu mwezi hauna anga, ikiwa na maana mwezini hakuna upepo ambao utafuta zile alama za unyayo wala maji ambayo yataondoa zile alama za unyayo.
Ankooo unanibebesha mlima kilimanjaro ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana huko hakuna mvua wala mimea au viumbe hai? Na huko Mars je?
Yaani mbwa huyu huyu popi anapenda "dadi wereva yua ailavu yuu..." "no bade kani stopu rege" au "ai lavu bati ailaidi"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hawa yuu Anko kwa leo [emoji137][emoji137][emoji1][emoji1]Tafiti: Mbwa wanapenda muziki aina ya rege na muziki laini wa Rock' kuliko aina nyingine za muziki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko usibishane na utafiti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa leo am fine ankoYaani mbwa huyu huyu popi anapenda "dadi wereva yua ailavu yuu..." "no bade kani stopu rege" au "ai lavu bati ailaidi"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hawa yuu Anko kwa leo [emoji137][emoji137][emoji1][emoji1]