Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]Chunusi
Kala ndizi nyingiUkiona nyani mzee
| MLIMA WA CHUMA Mlima huu upo Pennsylvania, Marekani ambao unatumika kuhifadhi mitambo inayoendesha mitandao ‘internet’. Sehemu hii pia hutumika kuhifadhi data na nyaraka za siri za serikali ya Marekani. | |||||||
Respect kwakeAnaitwa Vicent Nundwe, alikuwa Mkuu wa majeshi nchini Malawi kabla ya Raisi Peter Mutharika kumfuta kazi mwezi March kutokana na kuwasisitiza wanajeshi wasitumie nguvu dhidi ya waandamanaji na badala yake wawalinde. You earn our Respect SIR!! View attachment 1490608
Hahaha Mkuu tupo pamojaSeth A god of Desert. Alingoa Horus (?) Jicho akamkata kata vipande 14
Weka na mungu wa maarifa/hekima.. (Wisdom
[emoji23][emoji23] angejuuta kunifahamuAnaitwa Denise Coutes ndiye mwanamke mwenye mshahara mkubwa zaidi dunia ,analipwa Tsh Billion 340.Mwanamama huyu ni afisa mkuu wa kampuni ya kamari ya Bet 365.
Na hela zake zote hizo bado ni mke wa mtu na anamheshimu mumewe ,sijui kuhusu dada zangu wa hapa TZ wangefanya nini?
[emoji849][emoji849]Kula karoti 3 kwa siku, ni sawa na kuupa mwili wako mazoezi ya kutembea umbali wa kilomita tatu.