Hakika, ngoja nisubiri kidogo....πππππ Tafadhali usiwafikishie hizo habari,watachukia sana.
Mwenye kusubiri atapata kitu chema....Usku mwema mkuu.Hakika, ngoja nisubiri kidogo....
Na wewe pia.Mwenye kusubiri atapata kitu chema....Usku mwema mkuu.
Umekubali mwaliko wao?Nimepokea mwaliko kwa bashasha tele....Wape shukrani zangu....Naelewa mjumbe hauwawiπ
U hali gani lakini?
ππMabaharia bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1491608
moudgulf, kamtembelee huyu halafu ulete mrejesho jirani. Najua hii ni mitaa yako. Maendeleo hayana u-Liverpool wala Simba Sports. ππKkoo mtaa wa agrey na likoma karibu Sana dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]