Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Salama tu anko za weweAnko habari ya siku nyingi?
Nitakuwepo bageshi. Na ile dharau yake ya kutupa tung'ombe tukondefu twenye vichwa vikubwa kama siafu usiisahau. It is time dunia ijue [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sema tu dadangu mpole. Mtiti wa Kizaramo hata upeleke kwenye makelele namna gani hakuna kitu. Tena ndiyo anaweza kwenda akachomoa hata masipika yanayotoa sauti ili akupe mipasho sawasawa.
Kuna jamaa Mbena alikuwa na kibinti cha Kizaramo pale Njinjo alikuwa anakimbilia Bulyaga moto ukimuwakia aaaa wapi. Kinamfuata huko huko kinawazimia na muziki mpaka menejimenti ikampiga marufuku asiwe anakimbilia huko akiwa amekorofisha...Halafu jamaa alikuwa mjeshi sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Una bahati dada tulimlea vyema na ana heshima sana vinginevyo hata kilimo usingekikumbuka wakati moto umekuwakia [emoji23]
Shemeji [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nitakuwepo bageshi. Na ile dharau yake ya kutupa tung'ombe tukondefu twenye vichwa vikubwa kama siafu usiisahau. It is time dunia ijue [emoji16][emoji16][emoji16]
Atakoma huyu mzee wa Kinyakyusa labda atukimbie [emoji16][emoji16][emoji16]Hakisahauliki kitu[emoji1][emoji1][emoji1]
Ushawahi kumchapa kofi mwenzako
Best of all times aise
Mungu ni mwema. Nipo uelekeo wa Kilasilo, sema chochoteSalama tu anko za wewe
Jamaniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakoma huyu mzee wa Kinyakyusa labda atukimbie [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1502318
Halafu watakao komenti kwa kutukana na kukupongeza ni watoto walio zaliwa miaka ya 2000's.
Njoo kamanda. Tanzania ipo ila punguza kutuchongea kwa mabeberu eti watunyime misaada. Tukinyimwa misaada wabaya wako wala hawaumii katu !!!
Hahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23]Kofi tena?
Hizo nguvu mi nazitoa wapi [emoji1][emoji1][emoji1].
Mi hasira zangu ni kupasua simu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwa haya makabila ya pwani shughuli ipo.Hajali mazingira muhimu asikilizwe yeye tu.
Mungu mkubwa aliweza kunitenganisha na mama Muba, alikuwa ananikabia kwenye kigugumizi changu mweee [emoji1][emoji1][emoji1]
Sokota shwaini zako na mama Muba wako, ningekufa mimi.
Hivi ulikimbilia kwa Baba Viv (Bob) au pwani kwa Moud? Mi wala sikuelewa ishu ile ilivyomalizika baada ya kumpiga chini Mnyakyusa wako [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa tu, ila na ww watakuwa washajua ukatili wako[emoji38][emoji38].
Hv inawezekanaje mtu uliehangaika nae kutunza miparachichi, baada ya mavuno umuone hafai????
Hivi wabaya wake hawawezi kummalizia kweli.Njoo kamanda. Tanzania ipo ila punguza kutuchongea kwa mabeberu eti watunyime misaada. Tukinyimwa misaada wabaya wako wala hawaumii katu !!!
Atakoma huyu mzee wa Kinyakyusa labda atukimbie [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1502318