Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawa tu, ila na ww watakuwa washajua ukatili wako[emoji38][emoji38].
Hv inawezekanaje mtu uliehangaika nae kutunza miparachichi, baada ya mavuno umuone hafai????
Hata mimi najishangaa sana!!
Umegundua kwanini nakupigia simu mara kwa mara?
Pengo lako halizibiki, rudi nyumbani mwandani wangu. Tulipoishia tutaanzia hapo hapo kula raha... Sawa mama?
 
Hivi wabaya wake hawawezi kummalizia kweli.
Wasiojulikana siwaakini hata kidogo
Inategemea wabaya wake ni wa aina gani. Mimi naamini siyo wa serikali kwa sababu ya tukio lenyewe lilivyokuwa. CHADEMA wamesema watampa ulinzi mkali sana 24/7 ukiongezea na ulinzi wa serikali naamini atakuwa salama.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], kuna mmoja tunafanya nae kazi
Kuna muda anaongea mpk unahisi sikio linauma aiseee
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mungu kawajaalia mdomo wa kuongea. Wewe mwenyewe ile mwanzoni nakutokea kwa umbo lako lilivyo katika nikajua ni wa pwani,nikajipiga ngumi kifuani
 
Inategemea wabaya wake ni wa aina gani. Mimi naamini siyo wa serikali kwa sababu ya tukio lenyewe lilivyokuwa. CHADEMA wamesema watampa ulinzi mkali sana 24/7 ukiongezea na ulinzi wa serikali naamini atakuwa salama.
Hahahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi sihami jamani khaa, sasa Chadema wana ulinzi gani jamani.
Nchi ina vioja hii[emoji23][emoji23]
 
Jizazi [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ndiyo hivyo,
Huku kwetu mdada akifanywa na wanaume watano tu jiji lote linatikisika, mpaka hospitali atalazwa, madrip ya kumwaga.
Lakini mzungu wa watu yuko poa kabisa[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…